Shambulio la 11 Septemba 2001 ni tarehe na mwaka uliotokea mashambulio manne ya pamoja yaliyofanywa na kikosi cha Kigaidi cha al-Qaida dhidi ya Marekani. Kwa mujibu wa taarifa za maofisa, yasemekana kwamba kikosi cha Al-Qaida waliziteka nyala ndege nne wakazitumia kama silaha wakigongesha ndege katika majengo mjini New York na Washington DC kwa makusudi. Karibuni watu 3,000 walipoteza maisha katika shambulio hilo.
Je,watu wangapi walipoteza maisha yao katika Shambulio la 11 Septemba 2001?
Ground Truth Answers: Karibuni watu 3,0003,0003,000
Prediction: